Katika jaribio la kwanza la kisayansi, panya aliye na wazazi wawili wa kiume amefanikiwa kufikia utu uzima. Watafiti walifanikisha hatua hii muhimu kwa kutumia uundaji wa seli za kiinitete ...
Katika mazungumzo yetu, ninagundua Rahma ana tatizo la uchanga wa kihisia. Mtoto mwenye uchanga wa kihisia ana uwezo mdogo wa kudhibiti hisia zake. Mbali na kushindwa kuishi vizuri na watu, anaweza ...
Kahama. Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia mkazi wa Kata ya Mwakitolyo, Sai Charles (38) kwa tuhuma za kuiba mtoto wa siku moja. Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatatu Februari ...
“Fikiria mama mwenye uzoefu wa kujifungua watoto wa jinsi moja, anawaza sijui nitapata tena mtoto wa sita wa kike? Mume wangu atanielewaje? “Au mama kila anapojifungua anapitia uzazi pingamizi, ...
Dudley ambaye ni mtoto wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe alipewa amri hiyo jana mbele ya Naibu Msajili wa Mahakama hiyo, Mary Mrio wakati shauri hilo la madai ...
Musician Stevo Simple Boy's ex-wife Grace Atieno has accused him of not taking care of their child. Stevo Simple Boy's ex asks him for child support. Photo: Stevo Simple Boy, SPM Buzz. Grace during an ...